Isaya 63:7
Isaya 63:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitasimulia fadhili za Mwenyezi-Mungu; nitataja matendo yake yote yastahiliyo sifa, kwa sababu ya yote aliyotutendea, wema wake mkuu aliowapa Waisraeli kwa huruma yake, kadiri ya wingi wa fadhili zake.
Shirikisha
Soma Isaya 63Isaya 63:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitautaja wema wa BWANA, sifa za BWANA kwa yote aliyotukirimia BWANA; na wingi wa wema wake kwa nyumba ya Israeli, aliowakirimia kwa rehema zake, na kwa wingi wa wema wake.
Shirikisha
Soma Isaya 63