Waamuzi 6:1
Waamuzi 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha wana wa Israeli walifanya yaliyo maovu mbele za macho ya BWANA; BWANA akawatia mikononi mwa Midiani muda wa miaka saba
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Waisraeli walitenda uovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; naye akawatia mikononi mwa Wamidiani kwa muda wa miaka saba.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6