Waamuzi 6:14
Waamuzi 6:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamtazama, akasema, Nenda kwa uwezo wako huu, ukawaokoe Israeli na mkono wa Midiani. Je! Si mimi ninayekutuma?
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamgeukia, akamwambia, “Nenda kwa uwezo ulio nao, ukaikomboe Israeli kutoka Wamidiani. Ni mimi ninayekutuma.”
Shirikisha
Soma Waamuzi 6