Waamuzi 6:15
Waamuzi 6:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Ee Bwana, nitawaokoa Israeli kwa jinsi gani? Tazama, jamaa zangu ndio walio maskini sana katika Manase, na mimi ndimi niliye mdogo katika nyumba ya baba yangu.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Gideoni akamjibu, “Tafadhali Bwana, nitawezaje kuikomboa Israeli? Ukoo wangu ndio dhaifu zaidi katika kabila la Manase, na mimi mwenyewe ni mdogo kabisa katika jamaa yetu!”
Shirikisha
Soma Waamuzi 6