Waamuzi 6:16
Waamuzi 6:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia, Hakika nitakuwa pamoja nawe, nawe utawapiga Wamidiani kama mtu mmoja.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Nitakuwa pamoja nawe; nawe utawaangamiza Wamidiani kana kwamba wangekuwa mtu mmoja.”
Shirikisha
Soma Waamuzi 6