Waamuzi 6:17
Waamuzi 6:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Gideoni akamwambia, “Basi, ikiwa nimepata fadhili kwako, nioneshe ishara ili nijue kuwa ni wewe kweli uliyezungumza nami.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye akamwambia, Kama nimepata kibali mbele za macho yako, basi unioneshe ishara, ya kuwa ndiwe wewe unayesema nami.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6