Waamuzi 6:24
Waamuzi 6:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Gideoni akamjengea BWANA madhabahu hapo, akaiita jina lake, Yehova-Shalomu; hata hivi leo iko huko katika Ofra ya Waabiezeri.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6Waamuzi 6:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Gideoni akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu huko na kuyaita, “Mwenyezi-Mungu ni Amani.” Madhabahu hiyo iko huko Ofra, mji wa Wabiezeri, mpaka leo.
Shirikisha
Soma Waamuzi 6