Yeremia 13:10
Yeremia 13:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Watu hawa waovu, wanaokataa kusikiliza maneno yangu, wanaokwenda kwa ushupavu wa mioyo yao, na kufuata miungu mingine ili kuitumikia na kuiabudu, watakuwa hali moja na mshipi huu, usiofaa kwa lo lote.
Shirikisha
Soma Yeremia 13Yeremia 13:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu hawa waovu wanakataa kusikia maneno yangu, na badala yake wanakuwa wakaidi na kufuata mawazo yao wenyewe. Wanaifuata miungu mingine, wanaitumikia na kuiabudu. Hao watakuwa kama kikoi hiki ambacho hakifai kitu.
Shirikisha
Soma Yeremia 13