Yeremia 13:15
Yeremia 13:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Sikilizeni ninyi, kategeni masikio yenu; msifanye kiburi; maana BWANA amenena.
Shirikisha
Soma Yeremia 13Yeremia 13:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi Waisraeli, sikilizeni kwa makini, msiwe na majivuno maana Mwenyezi-Mungu anasema nanyi.
Shirikisha
Soma Yeremia 13