Yeremia 13:23
Yeremia 13:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Mkushi aweza kuibadili ngozi yake, au chui madoa-doa yake? Kama aweza, ndipo na ninyi mwaweza kutenda mema, ninyi mliozoea kutenda mabaya.
Shirikisha
Soma Yeremia 13Yeremia 13:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Je, Mwethiopia aweza kubadili rangi yake, au chui madoadoa yake? Ikiwezekana, nanyi pia mnaweza kutenda mema, nyinyi mliozoea kutenda maovu!
Shirikisha
Soma Yeremia 13