Yeremia 20:11
Yeremia 20:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini BWANA yu pamoja nami, mfano wa shujaa mwenye kutisha; kwa hiyo hao wanaonionea watajikwaa, wala hawatashinda; watatahayarika sana. Kwa sababu hawakutenda kwa akili, wataona aibu ya milele, ambayo haitasahauliwa kamwe.
Shirikisha
Soma Yeremia 20Yeremia 20:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wewe Mwenyezi-Mungu u pamoja nami kwangu wewe ni kama shujaa wa kutisha; kwa hiyo watesi wangu watajikwaa, na hawataweza kunishinda. Wataaibika kupindukia, maana hawatafaulu. Fedheha yao itakuwa ya daima; kamwe haitasahaulika.
Shirikisha
Soma Yeremia 20