Yeremia 23:16
Yeremia 23:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: “Msisikilize maneno ya manabii wanaowatabiria; wanawapeni matumaini ya uongo. Wanayowaambia ni maono yao wenyewe, wala hayakutoka kwangu mimi Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Yeremia 23Yeremia 23:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA wa majeshi asema hivi, Msisikilize maneno ya manabii wakiwatabiria; huwafundisha ubatili; hunena maono ya mioyo yao wenyewe; hayakutoka katika kinywa cha BWANA.
Shirikisha
Soma Yeremia 23