Yeremia 31:3
Yeremia 31:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA alitutokea wakati uliopita, akisema: “Nimekupenda kwa upendo wa milele, nimekuvuta kwa wema.
Shirikisha
Soma Yeremia 31Yeremia 31:3 Biblia Habari Njema (BHN)
mimi Mwenyezi-Mungu nilimtokea kwa mbali. Nami nimekupenda kwa mapendo ya daima, kwa hiyo nimeendelea kuwa mwaminifu kwako.
Shirikisha
Soma Yeremia 31Yeremia 31:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA alinitokea zamani, akisema, Naam nimekupenda kwa upendo wa milele, ndiyo maana nimekuvuta kwa fadhili zangu.
Shirikisha
Soma Yeremia 31