Yeremia 33:8
Yeremia 33:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitawasafisha na uovu wao wote, ambao kwa huo wamenitenda dhambi; nami nitawasamehe maovu yao yote, ambayo kwayo wamenitenda dhambi, na kukosa juu yangu.
Shirikisha
Soma Yeremia 33Yeremia 33:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nitawatakasa dhambi zote walizofanya dhidi yangu, na nitawasamehe dhambi zote za uasi dhidi yangu.
Shirikisha
Soma Yeremia 33