Yeremia 37:2
Yeremia 37:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini yeye, wala watumishi wake, wala watu wa nchi, hawakuyasikiliza maneno ya BWANA aliyonena kwa kinywa cha nabii Yeremia.
Shirikisha
Soma Yeremia 37Yeremia 37:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Sedekia na maofisa wake pamoja na wananchi wa Yuda hawakusikiliza maonyo ya Mwenyezi-Mungu aliyotoa kwa njia ya nabii Yeremia.
Shirikisha
Soma Yeremia 37