Yeremia 37:9
Yeremia 37:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA asema hivi, Msijidanganye mkisema, Bila shaka Wakaldayo watatuacha na kwenda zao; maana hawatawaacha.
Shirikisha
Soma Yeremia 37Yeremia 37:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Mwenyezi-Mungu nasema kwamba msijidanganye wenyewe na kusema kwamba jeshi la Wakaldayo litaondoka; kweli halitaondoka.
Shirikisha
Soma Yeremia 37