Yeremia 44:18
Yeremia 44:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
Shirikisha
Soma Yeremia 44Yeremia 44:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini tulipoacha kumfukizia uvumba malkia wa mbinguni, na kummiminia sadaka za kinywaji, tumepungukiwa na vitu vyote; na kuangamizwa kwa upanga, na kwa njaa.
Shirikisha
Soma Yeremia 44