Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 10:1 - Linganisha Matoleo Yote

Yobu 10:1 BHN (Biblia Habari Njema)

“Nayachukia maisha yangu! Malalamiko yangu nitayasema bila kizuizi. Nitasema kwa uchungu wa moyo wangu.

Shirikisha
Yobu 10 BHN

Yobu 10:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Nafsi yangu inachoka na maisha yangu; Sitajizuia na kuugua kwangu; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.

Shirikisha
Yobu 10 SUV

Yobu 10:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Nayachukia maisha yangu; Nitayasema malalamiko yangu wazi; Nitanena kwa uchungu wa roho yangu.

Shirikisha
Yobu 10 SRUV

Yobu 10:1 NEN (Neno)

“Nayachukia sana haya maisha yangu; kwa hiyo nitatoa malalamiko yangu kwa wazi bila kujizuia, nami nitanena kutokana na uchungu wa moyo wangu.

Shirikisha
Yobu 10 NEN