Yobu 10:8
Yobu 10:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mikono yako imeniumba na kunifinyanga; Nawe utageuka na kuniangamiza?
Shirikisha
Soma Yobu 10Yobu 10:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Mikono yako ndiyo iliyoniumba na kunifanya. Je, sasa utageuka na kuniangamiza?
Shirikisha
Soma Yobu 10