Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 5:2 - Linganisha Matoleo Yote

Yobu 5:2 BHN (Biblia Habari Njema)

Ama kweli hangaiko humuua mpumbavu, na wivu humwangamiza mjinga.

Shirikisha
Yobu 5 BHN

Yobu 5:2 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwani hasira humwua mtu mpumbavu, Nao wivu humwua mjinga.

Shirikisha
Yobu 5 SUV

Yobu 5:2 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwani hasira humwua mtu mpumbavu, Nao wivu humwua mjinga.

Shirikisha
Yobu 5 SRUV

Yobu 5:2 NEN (Neno)

Kuweka uchungu moyoni humuua mpumbavu, nao wivu humchinja mjinga.

Shirikisha
Yobu 5 NEN