Yobu 7:15 - Linganisha Matoleo Yote
Yobu 7:15 BHN (Biblia Habari Njema)
hata naona afadhali kujinyonga, naona heri kufa kuliko kupata mateso haya.
Shirikisha
Yobu 7 BHNYobu 7:15 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata nafsi yangu huchagua kunyongwa, Na kuchagua kifo kuliko maumivu yangu haya.
Shirikisha
Yobu 7 SUVYobu 7:15 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Hata nafsi yangu huchagua kunyongwa, Na kuchagua kifo kuliko maumivu yangu haya.
Shirikisha
Yobu 7 SRUVYobu 7:15 NEN (Neno)
hivyo ninachagua kujinyonga na kufa, kuliko huu mwili wangu.
Shirikisha
Yobu 7 NEN