Yobu 7:17-18
Yobu 7:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Je! Mtu ni kitu gani, hata ukamtukuza, Na kumtia moyoni mwako, Na kumwangalia kila asubuhi, Na kumjaribu kila dakika?
Shirikisha
Soma Yobu 7Yobu 7:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Binadamu ni nini hata umjali? Kwa nini hata unajishughulisha naye? Wewe waja kumchunguza kila asubuhi, kila wakati wafika kumjaribu!
Shirikisha
Soma Yobu 7