Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yobu 7:7 - Linganisha Matoleo Yote

Yobu 7:7 BHN (Biblia Habari Njema)

“Kumbuka, maisha yangu ni pumzi tu; jicho langu halitaona jema lolote tena.

Shirikisha
Yobu 7 BHN

Yobu 7:7 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kumbuka ya kwamba maisha yangu ni upepo; Jicho langu halitaona mema tena.

Shirikisha
Yobu 7 SUV

Yobu 7:7 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kumbuka ya kwamba maisha yangu ni upepo; Jicho langu halitaona mema tena.

Shirikisha
Yobu 7 SRUV

Yobu 7:7 NEN (Neno)

Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi; macho yangu kamwe hayataona tena raha.

Shirikisha
Yobu 7 NEN