Yona 4:3
Yona 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, sasa ee Mwenyezi-Mungu, nakusihi uniondolee uhai wangu, maana, kwangu mimi ni afadhali kufa kuliko kuishi.”
Shirikisha
Soma Yona 4Yona 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, sasa, Ee BWANA, nakuomba, uniondolee uhai wangu; maana ni afadhali nife mimi kuliko kuishi.
Shirikisha
Soma Yona 4