Yoshua 1:8
Yoshua 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakikisha kuwa hutakisahau kamwe kitabu hiki cha sheria; bali kila siku utajifunza kitabu hiki, mchana na usiku, ili upate kutekeleza yote yaliyoandikwa humu, nawe utafanikiwa na kustawi popote uendapo.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda kulingana na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Shirikisha
Soma Yoshua 1Yoshua 1:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kitabu hiki cha torati kisiondoke kinywani mwako, bali yatafakari maneno yake mchana na usiku, upate kuangalia kutenda sawasawa na maneno yote yaliyoandikwa humo; maana ndipo utakapoifanikisha njia yako, kisha ndipo utakapositawi sana.
Shirikisha
Soma Yoshua 1