Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yoshua 1:8

Yoshua 1:8 NEN

Usiache Kitabu hiki cha Sheria kiondoke kinywani mwako; yatafakari maneno yake usiku na mchana, ili upate kuwa mwangalifu kufanya kila kitu sawasawa na yote yaliyoandikwa ndani yake. Ndipo utakapofanikiwa na kisha utastawi.

Verse Image for Yoshua 1:8

Yoshua 1:8 - Usiache Kitabu hiki cha Sheria kiondoke kinywani mwako; yatafakari maneno yake usiku na mchana, ili upate kuwa mwangalifu kufanya kila kitu sawasawa na yote yaliyoandikwa ndani yake. Ndipo utakapofanikiwa na kisha utastawi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yoshua 1:8