Yoshua 21:43
Yoshua 21:43 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu aliwapa Waisraeli nchi yote ambayo alikuwa amewaahidi wazee wao. Nao wakaimiliki na kuishi humo.
Shirikisha
Soma Yoshua 21Yoshua 21:43 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi BWANA aliwapa Israeli nchi hiyo yote, ambayo aliapa kwamba atawapa baba zao; nao wakaimiliki, na kukaa humo.
Shirikisha
Soma Yoshua 21