Yoshua 23:10
Yoshua 23:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu wenu mmoja tu anaweza kuwakimbiza maadui elfu, kwani Mwenyezi-Mungu Mungu wenu ndiye anayewapigania kama alivyowaahidi.
Shirikisha
Soma Yoshua 23Yoshua 23:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu mmoja miongoni mwenu atafukuza watu elfu; maana BWANA, Mungu wenu, ndiye anayewapigania, kama alivyowaambia.
Shirikisha
Soma Yoshua 23