Walawi 11:45
Walawi 11:45 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ndimi niliyewatoa nchini Misri ili niwe Mungu wenu; kwa hiyo muwe watakatifu kwa maana mimi ni mtakatifu.”
Shirikisha
Soma Walawi 11Walawi 11:45 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuwa mimi ni BWANA niliyewaleta kutoka nchi ya Misri, ili kwamba niwe Mungu wenu; basi mtakuwa watakatifu, kwa kuwa mimi ni Mtakatifu.
Shirikisha
Soma Walawi 11