Luka 17:15-16
Luka 17:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Mmoja wao alipoona kwamba ameponywa, alirudi akimtukuza Mungu kwa sauti kubwa. Akajitupa chini mbele ya miguu ya Yesu huku akimshukuru. Huyo alikuwa Msamaria.
Shirikisha
Soma Luka 17Luka 17:15-16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mmoja wao alipoona kwamba amepona, alirudi, huku akimtukuza Mungu kwa sauti kuu; akaanguka kifudifudi miguuni pake, akamshukuru; naye alikuwa Msamaria.
Shirikisha
Soma Luka 17