Luka 2:8-9
Luka 2:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika sehemu hizo, walikuwako wachungaji wakikesha usiku mbugani kulinda mifugo yao. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, na utukufu wa Bwana ukawaangazia pande zote. Wakaogopa sana.
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na katika nchi ile ile walikuwako wachungaji wakikaa makondeni na kulinda kundi lao kwa zamu usiku. Malaika wa Bwana akawatokea ghafla, utukufu wa Bwana ukawang'aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.
Shirikisha
Soma Luka 2