Mathayo 1:21
Mathayo 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yesu, kwa kuwa yeye ndiye atakayewaokoa watu wake katika dhambi zao.”
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:21 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye atazaa mwana, nawe utamwita jina lake Yesu, maana, yeye ndiye atakayewaokoa watu wake na dhambi zao.
Shirikisha
Soma Mathayo 1