Mathayo 1:23
Mathayo 1:23 Biblia Habari Njema (BHN)
“Bikira atachukua mimba, atamzaa mtoto wa kiume, nao watampa jina Emanueli” (maana yake, “Mungu yuko nasi”).
Shirikisha
Soma Mathayo 1Mathayo 1:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi.
Shirikisha
Soma Mathayo 1