Mathayo 15:18-19
Mathayo 15:18-19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni; navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi. Kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati; wivi, ushuhuda wa uongo, na matukano
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mambo yatokayo kinywani hutoka moyoni, na hayo ndiyo yanayomtia mtu unajisi. Maana moyoni hutoka mawazo ya uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na kashfa.
Shirikisha
Soma Mathayo 15