Mathayo 15:30 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 15:30 BHN (Biblia Habari Njema)
Watu wengi sana wakamjia wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi waliokuwa wagonjwa, wakawaweka mbele ya miguu yake, naye Yesu akawaponya.
Shirikisha
Mathayo 15 BHNMathayo 15:30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwendea makutano mengi wakimletea viwete, vipofu, mabubu, vilema, na wengine wengi, wakawaweka miguuni pake; akawaponya
Shirikisha
Mathayo 15 SUVMathayo 15:30 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakamwendea makutano mengi wakimletea viwete, vipofu, mabubu, vilema, na wengine wengi, wakawaweka miguuni pake; akawaponya
Shirikisha
Mathayo 15 SRUVMathayo 15:30 NEN (Neno)
Umati mkubwa wa watu wakamjia, wakiwaleta vilema, vipofu, viwete, bubu na wengine wengi, wakawaweka miguuni pake; naye akawaponya.
Shirikisha
Mathayo 15 NEN