Mathayo 15:36
Mathayo 15:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Akaitwaa ile mikate saba na vile visamaki, akamshukuru Mungu, akavimega, akawapa wanafunzi, nao wakawagawia watu.
Shirikisha
Soma Mathayo 15Mathayo 15:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akaitwaa ile mikate saba na vile visamaki, akashukuru akavimega, akawapa wanafunzi wake, nao wanafunzi wakawapa makutano.
Shirikisha
Soma Mathayo 15