Mathayo 18:18
Mathayo 18:18 Biblia Habari Njema (BHN)
“Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambieni, yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yoyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 18