Mathayo 18:21 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 18:21 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha Petro akamwendea Yesu, akamwuliza, “Je, ndugu yangu akinikosea, nimsamehe mara ngapi? Mara saba?”
Shirikisha
Mathayo 18 BHNMathayo 18:21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?
Shirikisha
Mathayo 18 SUVMathayo 18:21 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikosee mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba?
Shirikisha
Mathayo 18 SRUVMathayo 18:21 NEN (Neno)
Kisha Petro akamwendea Yesu na kumuuliza, “Bwana, ni mara ngapi nimsamehe ndugu yangu akinikosea? Hadi mara saba?”
Shirikisha
Mathayo 18 NEN