Mathayo 18:35
Mathayo 18:35 Biblia Habari Njema (BHN)
Na baba yangu aliye mbinguni atawafanyieni vivyo hivyo kama kila mmoja wenu hatamsamehe ndugu yake kwa moyo wake wote.”
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndivyo na Baba yangu wa mbinguni atakavyowatenda ninyi, msiposamehe kwa mioyo yenu kila mtu ndugu yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 18