Mathayo 18:6
Mathayo 18:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali afungwe shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.
Shirikisha
Soma Mathayo 18Mathayo 18:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali atakayemkosesha mmojawapo wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungiwe shingoni jiwe kubwa la kusagia, na kutoswa katika kilindi cha bahari.
Shirikisha
Soma Mathayo 18