Mathayo 21:9
Mathayo 21:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Makundi ya watu waliomtangulia na wale waliomfuata wakapaza sauti: “Sifa kwa Mwana wa Daudi! Abarikiwe huyo ajaye kwa jina la Bwana! Sifa kwa Mungu juu!”
Shirikisha
Soma Mathayo 21Mathayo 21:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, Mwana wa Daudi; ndiye mbarikiwa, yeye ajaye kwa jina la Bwana; Hosana juu mbinguni.
Shirikisha
Soma Mathayo 21