Mathayo 27:33-34
Mathayo 27:33-34 Biblia Habari Njema (BHN)
Walipofika mahali paitwapo Golgotha, maana yake, mahali pa Fuvu la Kichwa, wakampa mchanganyiko wa divai na kitu kichungu. Lakini Yesu alipoonja akakataa kunywa.
Shirikisha
Soma Mathayo 27Mathayo 27:33-34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na walipofika mahali paitwapo Golgotha, yaani, Fuvu la Kichwa, wakampa kunywa divai iliyochanganyika na nyongo; lakini yeye alipoionja hakutaka kunywa.
Shirikisha
Soma Mathayo 27