Mathayo 6:33-34
Mathayo 6:33-34 Biblia Habari Njema (BHN)
Bali, shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu na matakwa yake, na hayo yote mtapewa kwa ziada. Basi, msiwe na wasiwasi juu ya kesho; kesho inayo yake. Matatizo ya siku moja yanawatosheni kwa siku hiyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:33-34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Maovu ya siku yanaitosha siku hiyo.
Shirikisha
Soma Mathayo 6Mathayo 6:33-34 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa. Basi msisumbukie ya kesho; kwa kuwa kesho itajisumbukia yenyewe. Yatosha kwa siku maovu yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 6