Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 6:33-34

Mathayo 6:33-34 NENO

Lakini utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia. Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Kila siku ina masumbufu yake ya kutosha.