Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 6:33-34

Mathayo 6:33-34 NEN

Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia. Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Yatosha kwa siku masumbufu yake.