Mathayo 7:1-2
Mathayo 7:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
“Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.
Shirikisha
Soma Mathayo 7Mathayo 7:1-2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Usihukumu ili usije ukahukumiwa. Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 7