Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:1-2

Mathayo 7:1-2 BHN

“Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:1-2