Marko 4:39-40
Marko 4:39-40 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaamka, akaukemea upepo, akaiambia bahari, Nyamaza, utulie. Upepo ukakoma, kukawa shwari kuu. Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga? Hamna imani bado?
Shirikisha
Soma Marko 4Marko 4:39-40 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, akaamka, akaukemea ule upepo na kuyaamrisha mawimbi ya ziwa, “Kimya! Tulia!” Hapo upepo ukakoma, kukawa shwari kabisa. Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mbona mnaogopa? Je, bado hamna imani?”
Shirikisha
Soma Marko 4