Marko 4:40-41
Marko 4:40-41 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mbona mnaogopa? Je, bado hamna imani?” Nao wakaogopa sana, wakawa wanaulizana, “Huyu ni nani basi, hata upepo na mawimbi vinamtii?”
Shirikisha
Soma Marko 4Marko 4:40-41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia, Mbona mmekuwa waoga? Hamna imani bado? Wakaingiwa na hofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, basi, hata upepo na bahari humtii?
Shirikisha
Soma Marko 4