Marko 5:8-9
Marko 5:8-9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu amemwambia, Ewe pepo mchafu, mtoke mtu huyu. Akamwuliza, Jina lako nani? Akamjibu, Jina langu ni Legioni, kwa kuwa tu wengi.
Shirikisha
Soma Marko 5Marko 5:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Alisema hivyo kwa kuwa Yesu alikuwa amemwambia, “Pepo mchafu, mtoke mtu huyu.”) Basi, Yesu akamwuliza, “Jina lako nani?” Naye akajibu, “Jina langu ni ‘Jeshi,’ maana sisi tu wengi.”
Shirikisha
Soma Marko 5